Thursday 16 March 2017

Babu Tale amejibu kuhusu baadhi ya wafanyakazi wa WCB kudaiwa kufukuzwa kazi


Kwenye U-heard ya leo March 16 2017 Soudy Brown ametuletea hii inayohusu lebo ya muziki ya WCB inayodaiwa kuwafukuza kazi baadhi ya wafanyakazi wake kwa kile kilichodaiwa ni hali ngumu ya uchumi.
Soudy Brown alipomuuliza Babu Tale kuhusu madai hayo alijiyajibu haya ……..>>> “Hamna aliyefukuzwa, tunapofanya kazi lazima kuwe na misingi ya kiofisi na hii ni kazi kama kazi nyingine, kwa hiyo tunaelekezana na hatuwezi kumfukuza Kifesi tumetoka naye mbali, so hizo ni taarifa tu.“
                                                                     Qboy Msafi

                                                                      Kifesi

No comments:

Post a Comment